Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
*Nyumba ya Ghorofa inauzwa Kigamboni Kibada*
*Distance* Kutoka lami ni Meter 300 mpaka kwenye nyumba.
-Nyumba ina vyumba v6 vya kulala, master bedroom moja, sitting room, dining room, kitchen, public toilet, stoo.
-Plot size Sqm 1,500
-Document: Title Deed 0787 939 898
*Bei shilingi milioni 600 maongezi yapo*