Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam



👉NI MPYAA (njoo umalizie ujidai kwako)
Nyumba inauzwa kigamboni mwongozo
📌BEI MILION 45 maongezi yapo (usiogope)
Vyumba v3 kimoja masta
Dining siting jiko
Umeme upo
Mbao za jipsam tayari (BLANDERING)
Maji yapo (KACHIMBA KISIMA KIREFU) na mnara wa Tank
Eneo sqm 680
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga 673 601 114