Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Ghorofa inauzwa ipo kigamboni kibada Ghorofa Ina hati miliki Kabisa yawizara ya alidhi ukumbwa wakiwanja sqmt 1700 Ghorofa Ina vyumba 7 vyumba vyote master bedroom stoo nyumba bei ml 320 Ghorofa Ina kisima cha maji Nyumba ipo mtaa mzuri sana majirani wamepangika vyema sana mtaa ambao uwezi kupata kiwanja ningum sana mtaa ulio tulia sana sana Call&watsapp 0769279936