Nyumba inauzwa Kijichi, Dar Es Salaam


🌍 PAGALE NA NYUMBA INAUZWA
📍KIJICHI
💰BEI MILLION 28 MAONGEZI YAPO
👉INA VYUMBA SABA, UMEME NA MAJI VIPO, GARI LINAFIKA, MAKADIRIO UWANJA UNA SQUARE METERS 400, KUTOKEA STENDI DK 5 TU
📞0658304822
NAMBA MOJA REAL ESTATE DEVELOPER
WAHI KABLA HAIJALIPIWA