Nyumba inauzwa Kilimanjaro







Nyumba inauzwa nyumba ipo goba mpaka
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master stoo publc
Nyumba ipo umbali wa km 1 toka kituo cha Kilimanjaro goba mpaka
Nyumba kali sana
Eneo sqm 800
Bei mil 120
Ni pazuli sana
Karibu sana mteja