Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE 🔥
NYUMBA HII YA WAPANGAJI
INAUZWA / INAUZWA
KIMARA TEMBONI.
PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO BARABARA ILIYOWEKWA LAMI YA ZEGE
BEI NI MILIONI 25.
MAONGEZI YAPO.
🏘️ NYUMBA HII INAVYUMBA V4 VYA KULALA, AMBAVYO UPANDE MMOJA VIWILI NA UPANDE MWINGINE PIA VIWILI, KATI KATI NI CORDO, PAMOJA NA SEHEMU YA JIKO LA KUSHARE" UMEME UPO, BADO KUVUTA MAJI TU HAPO, NA YAPO JIRANI.
MTEJA ATOPOINUNUA NYUMBA HII ANAWEZA KUBADILISHA WAVU JINSI ATAKAVYOONA INAFAA.
UKUBWA WA ENEO NI METER 18 X18
DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO KUTOKA OFFICE ZA SERIKALI YA MTAA.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI WA BAJAJI UPO NA BODA BODA PIA.
🏘️KARIBU SANA NDUGU MTEJA
What saapp number ⬅️ 0689-547258