Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOHITAJI UMALIZIAJI KIDOGO,
INAUZWA IPO KIMARA TEMBONI
NYUMBA HII NZURI YA KISASA IPO TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.5
SQMT 400
SERVICE CHARGE 30,000/=
BEI MILIONI 55
Nyumba ipo ndani ya fence
Vyumba V3 vya kulala (Kimojawapo ni self contained).
Dinning, Kitchen and public toilet
Frem moja ya duka hapo nje saafi..
Good car parking.
CONTACT
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿