Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


*HABARI*
: kiwanja nakiuza hapa kimara mwisho mita chache kama 200m kutoka stand ya mwendo kasi njia ya kuelekea kimara bonyokwa kipo nyuma ya sheli mpya ya botul kina square meter 396
Kizuri kwa nyumba za biashara . Master bed room unaweza pangisha kwa 300,000
Kiwanja kimezungushiwa Fensi imebakia tu upande wa mbele
Pia Kuna shimo la choo kishajengwa.
Bei ni *35,000,000*
Barabara , umeme , maji vipo pembeni ya uwanja
PIGA SIMU
0719969102