Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







GHOROFA NZURI MNO INAUZWA KIMARA SUKA
INA HATI YA WIZARA**** CLEAN TITLE DEED***** UKUBWA WA ENEO SQM 1,176******UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD MITA 500###
JUU KUNA VYUMBA V3 VYOTE MASTERS,SEBLE KUBWA,DINNING,JIKO NA CHOO PUBLIC.****** VYUMBA VINA FULL AC NA FULL MAKABATI######
CHINI CHUMBA KIKUBWA,SEBLE KUBWA NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI####
KISIMA CHA MAJI YA MVUA,MAJI YA DAWASA,BOY QUARTER, GARDEN, ELECTRICAL FENSI NK###
BEI MILLION 230 MAONGEZIII
CHINI KUNA CHUMBA
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms
0712500602
0755336565