Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


👉Nyumba ya Ghorofa moja inauzwa
👉Nyumba iko kimara Temboni
👉Ina vyumba 6 vikubwa na balcon juu
👉Vyumba vyote ni master bedroom's
👉Nyumba ina Full A/C
👉Ukubwa wa eneo sqms 1300
👉Umbali kutoka lami ya mtaani km mita 500
👉Umbali kutoka morogoro road ni kilometer 1.5
👉Bei milioni 650
*Mazungumzo yapo ukija mezani* wasaliana Nas kwa no *#0652407997📲📲🇹🇿🇹🇿🇹🇿whatsp0767427997