Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA INA VYUMBA VYA KULALA 4 VIWILI MASTER SEBLE DIANING NA JIKO NA PABLICK PIA IPO .
PEMBENI KUNA CHANGE COTER AMBAYO KUNA CHUMBA JIKO NA CHOO NA KWA NJE KUNA FREM 2.
KIUFUPI NYUMBA NI KALI SANA NA IMEKAMILIKA KILA KITU .
IPO KIMARA MWISHO KUTOKA BARABARA KUBWA KILOMETER 2 USAFIRI BAJAJI 700
BEI MILIONI 150.
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347