Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment mpya kabisa na za kisasa kabisa ina vyumba 2 vya kulala kimojawapo ni master,sebule kubwa,jiko kubwa la kisasa na choo cha familia kwenye fensi moja zipo apartment 3 na hii moja ndio imebakia na kila apartment inajitegemea kwa kila kitu zipo kimara korogwe upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1
: Bei ni 300k x 6..0745178262