Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️ KIMARA MWISHO
đź“Ť 280,000/= *6
đź“Ť Nyumba Mpya, inakuwa tayari kuhamia tarehe 01/07/2024, kulipia ruksa
_____________
___
• Sebule Kubwa
• Jiko Linawekwa makabati
• Chumba Master
• Choo Cha Wageni
* Luku yake
* Maji Dawasa ndani
* Parking space
* Garden nzuri
* Good environment
#Umbali wa dk 15 kwa miguu au bajaji 500 au bodaboda 1,000
_______
#Malipo ya Dalali 280,000/=
#Service Charge 15,000/=
_________
0753-172-516