Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


: Nyumba kubwa na ya kisasa kabisa inayojitegemea yenyewe kwenye fensi kubwa ina vyumba 3 vikubwa Sana vya kulala kimojawapo ni master,sebule kubwa sana, dining,jiko kubwa na choo cha familia nyumba ipo kimara korogwe upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.5
Mafundi ndio wapo kazini wanaendelea kuing'arisha nyumba na pia paving zipo wakimaliza rangi tuu mafundi wa paving wanaanza kazi ya kuweka paving
Bei ni 400k x 6..0745178262.