Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







MILIONI 55. 0679 956 863
UNFINISHED HOUSE FOR SALE:
NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOHITAJI UMALIZIAJI KIDOGO,
INAUZWA"
LOCATION:
KIMARA TEMBONI:
NYUMBA HII NZURI YA KISASA IPO TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.5
PlOT SIZE SQM: 400
Nyumba ipo ndani ya fence
Vyumba V3 vya kulala (Kimojawapo ni self contained).
Dinning, Kitchen and public toilet
Frem moja ya duka hapo nje saafi..
Good car parking.
PRICE: 55 Million negotiable.
Kiwanja kimeshapimwa, na hati itatoka kwa Jina la mnunuzi📌
Good neighbourhoods, ✅️
USAFIRI UPO WA UHAKIKA, BAJAJI TSH 1,000/=
Call:
0679 956 863
0759151524
0781 418 437