Nyumba inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YENYE VYUMBA 6 NA MADUKA 5,
TSHS.85 MILIONI,KIVULE-FREMUKUMI.
Hii ni nyumba mpya ya kisasa yenye jumla ya
Vyumba 6 vya kulala.
Pamoja na hiyo kuna Frem/Maduka 5.
Inafaa sana Familia kubwa na yenye kuhitaji Kitegauchumi pamoja na Makazi MAZURI,
Vyote kwa pamoja.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________msk


















