Nyumba inauzwa Kongowe, Pwani







Nyumba inauzwa nyumba ipo kongowe mbagalla
Nyumba ni ya vyumba v3 sebule jiko daining chumba master public
Gari inafika mpaka ndani
Eneo sqm 400
Bei mil 17
Hati mauziano selikali ya mtaa
Km 2 kutoka barabara ya lami
Karibu