Nyumba inauzwa Magomeni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA KWA MNADA
=Iko magomeni mwembe chai kwa sheh Yahya karibu na ekenywa hospital 
=Ina sqm 273 ni certificate tittle,kona plot
=Bei ni 150million maongezi  yapo..... NB. Hapa unaweza jenga yard. Frem. Godwon. Apartment. Nk.... Plot inatazama lami.




















