Nyumba inauzwa Magomeni, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MAGOMENI OIL COM
(katikati ya magomeni kagera na mwembe chai upande wa mburahati)
BEI MILLION 230 maongezi yapo usiogope bei
Nyumba ina pande mbili upande wa mbele na nyuma:
Upande mbele Kuna vyumba viwili master,chumba,public toilet jiko ndani ya fance,maji na umeme inajitegemea
Upande wa nyuma:
Ina master sebule,jiko,public toilet,maji na umeme inajitegemea ndani ya fance
UKUBWA WA ENEO:sqmt 210 maeneo ya mjini sqmt hizo ni nyingi sana
INA LESENI YA MAKAZI.
📞0658304822
⭐DALALI KIJICHI NAMBA MOJA