Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
MABOSS WANGU HII YA KUIKOSA KABISA
NYUMBA YA MDOGO WANGU KABISA ANA TAKA KULUDI ZAKE SOUTH AFRICA MIPANGO IME FERI ANA IYUZA IYO NYUMBA YAKE BEI YA KUTUPA SANA TSH MILION 33 TU
NYUMBA IPO MBAGALA SAKU ILULU IPO JILANI KABISA NA SHULE YA SECONDARY YA SAKU ILULU
PIA NI KALIBU SANA NA STENDY YA DALA DALA ZA SAKU MBAGALA
IPO KWENYE MTAA NZURI ENEO ZURI MDAU WANGU MWENYEWE ANA ITUPA TU NJOO SITE UKAGUE NYUMBA TUMALIZE BIASHARA FASTER
INA VYUMBA VTATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAINING ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU
INA FENCE YOTE GARI NDOGO 2 ZINA INGIA NDANI
USIKUBAR KUIKOSA KABISA WADAU WANGU HII NYUMBA NZURI SANA NI MPYA KABISA IME NYOOKA SANA
0686705903,0686705903 DALALI_KIGAMBONI_RASI_NAMBA_1 KIGAMBONI