Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI MTAA WA DOVYA NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA IME JENGWA KISASA IKO VZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 75 TU
INA ENEO KUBWA SQUARE MITER 400
INA DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
VYUMBA VYA KULALA VITATU KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 400
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 3 TU
0719514377