Nyumba inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ya vyumba vingi Nyumba kubwa ina vyumba 6 vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na jiko
Na uwani kuna chumba na sebule choo
Eneo kubwa Nyumba nzuri ina fence yote gari ndogo 4 zina ingia ndani bei ya Nyumba tsh million 46 tu
Ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es Salam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Ipo jilani kabisa na stend ya dala dala zina kwwnda kwa nzara chamaz
Njoo uiyone live mdau wangu ukiwa serious Uwezi kuiyacha kabisa nipigie cm au nicheki whatspp 0652618143. 0759203175