Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


MBEZI YA KIMARA KIBANDA CHA MKAA
NYUMBA NNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA ZINAUZWA
UMBALI KUTOKA MORO ROAD KM 2
BODA ELFU MOJA BAJAJ 1000
MAJI UMEME VIPO
HAPA NDANI NYUMBA ZOTE KUNA NYUMBA 43 NA FREM MOJA
ENEO SQM 1500
BEI MIL 100 TU
MAONGEZI YAPO
HATI IPO SAFI
NYUMBA IPO MTAA MZULI
NYUMBA IPO MTAANI
KARIBU SANA MTEJA