Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


WAHI SASA NIMESHUSHA BEI NYUMBA KUBWA YA KIBABE INAUZWA MBEZI NJIA YA MALAMBA KITUO KWA HAKIMU
DAKIKA CHACHE KUTOKA LAMI
UKUBWA WA ENEO 25 KWA 25
==SIFAZA NYUMBA
Inavyumba vitano vitatu master
Maji yanaflow chooni na jikoni
Fence na parking ya uhakika
===
Bei milioni 150 tu
===
Umbali dakika 3 Kwa mguu kutoka kituoni
Service charge 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258