Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER 100000Γ6....
IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KM1.3 BAJAJI 700 UKISHUKA DK 2 KWA MGUU...BODA 1000 MPAKA NYUMBANI
UMEME MNASHEA WATATU NA MAJI MNASHEA WATATU
MAJI YANAFLOW NDANI
MALIPO YA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA..KUONA 15K...
0713320608
0686334182