Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
โNYUMBA iliopo Ndani ya kiwanja sqmt 2016 Inauzwa milioni 65 maongezi yapo๐IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFULI BUS TERMINAL KONOIKE ROAD (KONTEINA STREET) - Dar es salaam - Tanzania
โSIFA)- Ukubwa eneo na unaweza kuvunja nyumba iliopo unajenga uipendayo,pia panafaa kwa apartment, Lodge Nk
*Distance* kilomita 1.8 kutoka Bara Bara kuu ya Morogoro road
-Ukubwa wa eneo Sqmt 2016
-Document; Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
โKiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo* #068491594 #0716974073