Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


🍎NYUMBA YA KIFAMILIA INAUZWA BEI YA KUOZA KABISA HII
LOCATION:MBEZI MSUMI KWAISA
PRICE: MILLION 45 M
🍎Vyumba Vitatu Kimoja Master
🍎Sebule kubwa
🍎Dinning Area
🍎Jiko la Makabati
🍎Choo cha Familia
🍎Umeme Upo
🍎Maji Yapo Ndani
🍎Fenced
🍎Full Paver
🍎Parking Sio kubwa
ENEO NI 10,20=SQMT200
UMILIKI NI HATI MILIKI (CLEAN TITLE DEED )
🔥NYUMBA IPO SEHEMU NZURI SANA.
🔥NYUMBA NI MPYAA IMEKALIWA MIEZI8 TU NA MUHUSIKA
__
#0714335450
#0714335450
___