Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


BEI MILIONI 50 MAONGEZI YAPO MBEZI MWISHO NJIA YA KINYEREZI
_______
NYUMBA INAUZWA
IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI
KITUO KIFURU MWISHO
_______
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KILOMITA 1 HADI KWENYE NYUMBA
_________
BODA BODA 1000
________
SIFA YA NYUMBA
IPO KWENYE FENSI
NYUMBA INA VYUMBA VYA KULALA VITATU 3 KIMOJA
MASTER
SEBULE
DINING
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
MAJI NA UMEME UPO
_________
PEMBENI KUNA VYUMBA VITATU HAVIJAPAULIWA
HUMO HUMO NDANI YA FENSI
_________
UKUBWA ENEO SM 400
________
NYUMBA HAINA MGOGORO
WOWOTE ANAYEUZA NI MUME NA MKE
________
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ZETU ZOTE ZILIZOPO NI SHILINGI 30,000
Contact:
0654101710
0787205300