Nyumba inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
MBEZI KIBANDA CHA MKAA
PLOT SIZE 1500SQM
CLEAN TITLE DEED
NI KM3 KUTOKA LAMI/MORO ROAD
NYUMBA NI YA VYUMBA V4 MASTER 2
SEBULE KUBWAA JIKO DAINING STOO
NJE IPO BOYCOTER YENYE VYUMBA V4 MASTER ZOTE
HAPO KUNA SEHEMU YA KUKAA WAGENI KWENYE KIBANDA CHA MAKUTI
NDANI JUU UKIPANDISHA NGAZI KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU
NYUMBA INAUKUBWA WA ENEO SQM 1500
SQM 500 KATI YA HIZO ZIPO WAZI WAWEZA KUJENGA ARPATIMENT KATI UKAFUNGA UKATOBOA MLANGO WAO WAPANGAJI
BEI MIL 130
SITE VISIT FEES TZS 50K
CALL #0744400988