Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA ____23/10/2024.
Ipo mbweni kiembeni.
Bei ni 65ml maongezi yapo usiogope bei boss wetu njoo mezani tuongee.
Ina vyumba v3 kimoja master, Sebule, Sehemu ya kulia chakula, Jiko, Stoo na choo cha pamoja.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1100.
Nyalaka serikali ya mtaa.
Gharama ya ukaguzi itahitajika kutoka kwako boss wetu.
Umeme na maji vipo.
0688193153
0655677213