Nyumba inauzwa Moshono, Arusha


NYUMBA MPYA INAUZWA.
IPO ARUSHA CITY tz mahali MOSHONO /FunRetreat / LAIZER.
Ukubwa wa KIWANJA 500 SQM / 5310 SQ ft / MITA 25 KWA 20.
NYARAKA ZA UMILIKI TITLE DEED / HATI SAFII.
NYUMBA MPYA YA KISASA YA FAMILIA
YENYE:
Vyumba vi TATU vya kulala kimoja MASTA.
JIKO, SEBULE, DINING, STORE, PUBLIC TOILET, WINDOW GRILL, MAJI, MFUMO WA UMEME, CAR PARKING, BARAZA YA SEBULENI na JIKONI.
NYUMBA IMEWEKWA PLASTA NDANI POTE.
NYUMBA IMEZUNGUKWA NA MAJIRANI WAZITO. NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WALA DENI.
Ukiwa kwenye nyumba unaona Mlima MERU na KILIMANJARO.
BEI INAUZWA Tsh Milioni 59,000,000/- Anza na nusu BEI deni Lipa Kwa awamu.
Maongezi yapo.
Kwa Taarifa zaidi na kuona weka appointment Kwa 0627779772 au 0765899772
Moshono, Arusha. 3 Beds. TZS 59M.