Nyumba inauzwa Soweto, Kilimanjaro







PAGALE LINAUZWA BEI YA KUTUPA LIPO KIFURU SOWETO DSM. MWENYE NYUMBA NDO ANAYEUZA.
________
SIFA YA NYUMBA
_______________________
_VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
__SEBULE KUBWA
__JIKO
__DINNING ROOM
__STORE KUBWA
_NDANI KUMEMWAGWA ZEGE
___________
BEI MILION 40 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA __30×20
_________
KUPELEKWA SITE ELF 30
UMILIKI NI BARUA YA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA.
0716223412
0618976024