Nyumba inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Tabata Bima St Mary.
Ukubwa: SQM 480
Bei: Mil 27
- Ipo karibu na barabara ya lami
- Mtaa tulivu
- Huduma zote za kijamii zipo
- Parking
- Fence
Unaweza vunja na kujenga upya au kukarabati.
Unaweza ishi mwenyewe au kupangisha.
Location ni center sana.
Muhitaji ๐ 0688 412 890.