Nyumba inauzwa Tanga, Ruvuma


*Nyumba kubwa ya kibiashara inauzwa TANGA MJINI.*
*PRIME COMMERCIAL AREA*
~*Eneo:* Ipo Tanga Mijini ,Ngamiani street, barabara ya 7, plot no.2, block no 36.
*~ Ina fremu tatu kubwa mbele ya nyumba na vyumba vikubwa 12 Vya ndani.*
*Location Coordinates:* -5.0776863, 39.0989127 (S5°4'39.671'', E39°5'56.085'')
*~Ukubwa:* SQM 472.81
Ni nyumba ya pili tokea barabara kuu ya Taifa road na soko kuu la tangamano mjini.
~Pia Ipo Opposite na KSK oil petrol station na ghorofa ya ZTE.
*Bei* : Tsh 380 Million , mazungumzo yapo.
*Mawasiliano* : 0788 729 522 , calls& whatsapp