Nyumba inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ukonga mombasa relini wilaya ya ilala dar
(Pia ipo karbu sana na gongo la mboto stend)
📌BEI MILION 46 INAPUNGUA📌
Vyumba v3 kimoja masta
Dining siting jiko
Jipsam umeme maji
Full perving
Unatembea tu had stend
Eneo sqm 400 (makadilio)
Nyaraka ni ya mwanasheria
((AMESHAFANYA UPIMAJI ARDHI NA CONTRO NAMBA YA KULIPIA HATI IMETOKA mteja akinunua itatokea kwa jina lake))
Whatsap au piga 0673601114