Nyumba/Apartment inapangishwa Iyumbu, Dodoma


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA✅️
_________________
📍MAHALI- IYUMBU
_________________
🚪 MUUNDO
-Vyumba  V2 vya kulalaa (01 MASTER)
-sebule
-jiko zuri 
-Public toilet
__________________
HUDUMA 
-Umeme na maji vipo
-Unajitegemea umeme 
-Parking space 
-Iko ndani ya fence 
-usalama wa kutosha
__________________________
💰MALIPO
~Bei  ni 300,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miezi 04+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255657122976 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000/=



















