Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENTS ZA KISASA ZINAPANGISHWA KIBAMBA MLOGANZOLA:
A, CHUMBA MASTER
SEBULE WASTANI
JIKO LENYE MAKABATI
UMEME NA MAJI PEKE YAKO
BEI NI 155,000/= MALIPO KUANZIA MIEZI 3 TU
B, CHUMBA KIKUBWA SANA
KINA JIKO LENYE MAKABATI
UMEME PEKE YAKO NA MAJI
BEI NI 155,000/= MALIPO NI KUANZIA MIEXI 3 TUU
C, HAPA KUNA CHUMBA KIKUBWA SANA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI SANA KUBWA LENYE MAKABATI
BEI NI 200,000/= X 03 TU
UMBALI NI 10 DAKIKA KUTOKA HOSPITALI YA MLONGANZILA
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI