Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA YA FAMILY 350K
MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA SHULE BARABARA YA LAMI MPYA IENDAYO KIBWEGERE KUTOKA BARBARA KUU YA MOROGORO ROAD NI KM 3
USAFIRI WA KUSHEA BAJAJI NA BODA UPO MWINGI SN
KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT TATU 3 MOJA NDIO IPO WAZI
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOM KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI INA STOO NA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET ELECTRIC FENCE WAYA AIR-CONDITIONING
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA NUSU 350K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO πΉπΏ
NB UKIHITAJI PICHA ZAIDI PIGA CM CHAP UKICHATI UTACHELEWA KUIATA HIYO NYUMBA
LOCATION KIBAMBA SHULE UMBALI WA KM 3 USAFIRI WA KUSHEA BAJAJI NA BODA UPO MWINGI
KWA MATANGAZO YA KIBIASHARA+WHAT'S UP+255715777904
CONT +255788145810
Karibuni SANA DALALIMICHAELKANYERERE πΉπΏπ€πππ―
maikokanyerere904@gmail.com π―πππ€πΉπΏ