Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #180K
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Sehemu ya jiko
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Kodi 180,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 Usafiri bodaboda 1000 unaweza Kutembea
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
☎️ #0757208653