Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT NZR SN ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO NI DARESALAAM TZ 🇹🇿
ENEO KIBAMBA CHAMA MLOGANZIRA
UMBALI KUTOPOKEA MLOGANZIRA HOSPITAL NI DK 10
======
NI APARTMENT ZA KIBACHELA
ZIPO ZA AINA TATU TOFAUTI
A MASTA BEDROOM
SEBULE. NA JIKO
LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA
=====
ZIPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI
155,000/=
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
==========
B //
MASTA BEDROOM NA JIKO
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155,000/=X3
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
===========
C //
MASTA BEDROOM KUBWA SANA SEBULE KUBWA SN JIKO
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI
200,000/=x3
==============
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
ANGALIZO HIZO ZA 155K ZINA KUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU KUONA KAMA MPANGAJI ATAKUWEPO
======
CONT
0683234124
0718367179