Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA YA FAMILY MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA HOSPITAL UMBALI WA KM 2 BODABODA SHILINGI ELFU MOJA 1000
PIGA SIMU 0755831740
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI INA VYOO VYA FAMILY NDANI INA STOO YA CHINI NDIO IPO WAZI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA THELATHINI 330K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO 🇹🇿🎤
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿👈💯👈