Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE kodi ni 180,000x6
master bedroom na sebule jiko kubwa lenye makabati
Kodi 180,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking IPO na kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
simu 0659336751 wsp 0786085637