Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150K
Chumba cha kulala sebule Choo ndani ( public) jiko kubwa zuri
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3
Inajitegemea umeme, maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking IPO
Umbali km 2.5 Usafiri upo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167