Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT NZR SN ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO NI DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO KIBAMBA CHAMA MLOGANZIRA UMBALI KUTOPOKEA MLOGANZIRA HOSPITAL NI DK 10
NI APARTMENT ZA KIBACHELA
ZIPO ZA AINA TATU TOFAUTI
A MASTA BEDROOM SEBULE JIKO TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA ZIPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
B MASTA BEDROOM NA JIKO
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
C MASTA BEDROOM KUBWA SANA SEBULE KUBWA SN JIKO NI MOYA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 200K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
ANGALIZO HIZO ZA 155K ZINA KUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU KUONA KAMA MPANGAJI ATAKUWEPO
0753 989554
0773700963
=====