Nyumba/Apartment inapangishwa Kiluvya, Pwani
APARTMENTS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KILUVYA/KIBAHA MPAKANI #150k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Morogoro Road
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167