Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA ZINAPANGISHWA
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 5 KWENYE ENEO MOJA
#BEI NI 250K X 3
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO #KIMARA_STOP_OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA. ZEGE NA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747