Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM NA JIKO
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X3
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
# JIKO SAFI
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME WAKE SUBMETER
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM1.5
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















