Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







โโ
APARTMENT MPYA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA NI DK 5 TUU KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD YA MWENDO KASI
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA KIZURI
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI NDIO LINAJENGWA
#CHOO CHAKE KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
โผ๏ธZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA MOJA TUU IMEBAKIA
BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
Kupelekwa kweny nyumba elfu kumi na tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja
O679447338
O753454167