Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000 × 4,5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200,000 × 6
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHO KIZURI NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PAVING
#CAR PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
💰 BEI NI 200,000 × 6
N. B *INAKUWA WAZI TAR 10/10/25 KUONA NA KULIPIA RUKSA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300