Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KILOMETA.1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA BODA BODA BUKU TUU.
CHUMBA MASTERS
SEBLE KUBWA SANA
UMEME SUBMETER YAKE
MAJI YANA FLOW CHOONI
PUBLIC TOILET IPO NJEE
FULL SECURITY 24HRS
MAZINGILA MANZURI SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TSH 150,000/=X"6"
CONTACT'S:0712656027
WHATSAPP:0712656027